Kliniki ya Macho
Posted on: September 19th, 2024
IDARA YA MACHO.
Idara ya macho inatoa huduma zifuatazo;
- Kuwaona wagonjwa wote wenye matatizo ya macho
- Kutoa Elimu ya afya ya macho
- Kupima vipimo vya miwani
- Ushauri
- Kufanya upasuaji wa jicho mkubwa na mdogo hasa mtoto wa jicho.
RATIBA YA WIKI
Jumatatu Kliniki
Jumanne upasuaji
Jumatano Kliniki
Alhamisi Kliniki ya kisukari cha macho
Ijumaa huduma mkoba.