Diagnostic Services
Vipimo vya kawaida vya x-ray
- X-ray ya kifua
- X-ray ya tumbo
- X-ray ya kichwa
- X-ray ya mkojo juu
- X-ray mkono chini
- X-ray kiganja
- X-ray ya bega
- X-ray ya paja
- X-ray ya goti
- X-ray ya mgu
- X-ray ya kiwiko
- X-ray ya kikanyagio / mguu
- X-ray ya kiungo cha mkono na kiganja
- X-ray ya kiwiko cha mkono
- X-ray ya vidole / mkono
- X-ray ya kiuno
Mashine ya uchunguzi kwa njia ya mionzi(x-ray)
Utrasound
- Ultrasound ya tumbo la juu
- Ultrasound ya tumbo la chini
- Ultrasound ya nfumo wa mkojo
- Ultrasound ya tezi dume
- Ultrasound ya mfumo wa uzazi kwa mwanamke
- Mtaalamu wa Mionzi akimuandaa mgonjwa kupata huduma ya kipimo cha picha.
Vipimo Malumu
- Kipimo cha uchunguzi wa mirija ya uzazi(mwanamke)
- kipimo cha kuchunguza koo la chakula
- kipimo cha uchunguzi wa mrija wa mkojo kwa mwanaume
- Kipimo cha uchunguzi wa nfumo wa mkojo(figo,ureta, kibofu cha mkojo)
- kipimo cha uchunguzi wa nfumo wa chakula kutokea haja kubwa
- Kipimo cha uchunguzi wa fistula