Huduma zetu
Idara ya Magonjwa ya Ndani
Idara ya magonjwa ya ndani ni idara inayohusika na kuzuia na kutibu magonjwa ya ndani kwa watu wazima.
Idara hii ina kliniki zifuatazo; kliniki ya ugonjwa wa presha ya kupanda, kliniki ya kisukari, kliniki ya wagonjwa weny...
readmoreHUDUMA ZITOLEWAZO KATIKA KITENGO CHA WAGONJWA WA NJE HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MBEYA
Katika idara ya wagonjwa wa nje tunahudumia wastani wa wateja 250 kwa siku. Tuna idadi ya kutosha ya wafanyakazi ikiwemo madaktari na wauguzi kwa kutoa huduma bora zi...
readmoreHuduma ya Afya ya Kinywa na Meno
- Kungoa meno
- Kungarisha meno
- Kusafisha meno
- Kuziba meno
- Kuua kiini cha fahamu cha jino
- Kunyosha mataya yaliyopinda
- Kufunga taya liliovunjika
- Kuweka meno ya bandia
- Kutoa elimu ya afya ya kinywa na meno....