Kliniki ya kisukari
Posted on: September 19th, 2024Hii ni kliniki inayo husika na kutoa elimu ya kuzuia na kutibu ugonjwa wa kisukari pamoja na madhara yatokanayo na ugonjwa huu. Kliniki hii inafanyika mara moja kwa wiki siku ya ijumaa muda kuanzia saa 3 kamili asubuhi mpaka saa 9 na nusu.