Nanenane

Monday 25th, September 2023
@Nanenane Mbeya
Maonesho ya nanenane kwenye viwanja vya John Mwakangale Nanenane Mbeya karibu utembelee banda la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ili ufahamu huduma zinazotolewa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya.
Pia kutakuwa na huduma ya kuwaona madaktari bila malipo na kufanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
Karibu tukuhudumie.