Wasiliana nasi | MMM | Barua Pepe |

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya
(Mkoani)

Nafikaje Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mbeya?

Kutokea stendi ya mabasi Mbeya mjini chukua usafiri wowote hadi Forest Mpya Jirani na MSD ya zamani utakuwa umefika.