Ijumaa Kuu njema...soma ziadi
Idara ya Magonjwa ya Ndani
Idara ya magonjwa ya ndani ni idara inayohusika na kuzuia na kutibu magonjwa ya ndani kwa watu wazima.
Idara hii ina kliniki zifuatazo; kliniki ya ugonjwa wa presha ya kupanda, kliniki ya kisukari, kliniki ya wagonjwa weny...
readmoreHUDUMA ZITOLEWAZO KATIKA KITENGO CHA WAGONJWA WA NJE HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MBEYA
Katika idara ya wagonjwa wa nje tunahudumia wastani wa wateja 250 kwa siku. Tuna idadi ya kutosha ya wafanyakazi ikiwemo madaktari na wauguzi kwa kutoa huduma bora zi...
readmoreHuduma ya Afya ya Kinywa na Meno
- Kungoa meno
- Kungarisha meno
- Kusafisha meno
- Kuziba meno
- Kuua kiini cha fahamu cha jino
- Kunyosha mataya yaliyopinda
- Kufunga taya liliovunjika
- Kuweka meno ya bandia
- Kutoa elimu ya afya ya kinywa na meno....
-
Jul 31
-
Dec 17
Monday - Sunday
- Kuanzia 06:30 hadi 07:15
- Kuanzia 13:00 hadi 13:30
- Kuanzia 16:30 hadi 17:30
- Kliniki ya Macho Kuanzia 11:30 AM hadi 06:30 PM
- Kliniki ya Magonjwa ya ukimwi Kuanzia 12:00 PM hadi 12:30 PM
- Kliniki ya Magonjwa ya wanawake Kuanzia 11:00 AM hadi 06:30 AM
- Kliniki ya Mama na Mtoto Kuanzia 11:30 AM hadi 05:30 AM
- Kliniki ya kisukari Kuanzia 12:00 PM hadi 06:30 PM