Katibu Mkuu wizara ya Afya amewahimiza watumishi wa Afya kuhesabiwa
Posted on: August 23rd, 2022Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amehesabika leo nyumbani kwake jijini Dodoma. Prof. Makubi amesema "Kazi nzuri inafanywa na Serikali yetu na Natumaini kila Mtumishi wa Sekta ya Afya anashiriki katika zoezi hili".