Kuelekea kilele cha kampeni ya uchangiaji Damu
Posted on: June 12th, 2021Tarehe 14 Juni 2021 ni kilele cha kampeni ya uchangiaji Damu Salaama, Hivyo kama Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya kuhitimisha kampeni hii kutakuwa na zoezi la uchangiaji Damu wananchi wote mnakaribishwa.