Mhe. WAZIRI WA AFYA AKIWA JIJINI DAR ES SALAAM KWENYE MAZUNGUMZO JUU YA CORONA
Posted on: April 4th, 2020Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. @ummymwalimu alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa SIKIKA Irenei Kiria jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona nchini Kikao hicho kimefanyika kwenye ofisi ndogo za wizara zilizopo jijini Dar es Salaam.