MUENENDO WA CORONA NCHINI.
Posted on: April 15th, 2020Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa 29 wa #COVIDー19 ambapo wote ni Watanzania. Wagonjwa 26 wapo Dar es Salaam, wawili wapo Mwanza na mmoja yupo Kilimanjaro. Ongezeko hilo linafikisha jumla visa 88, wakiwemo wagonjwa sita walioripotiwa visiwani Zanzibar.