TAARIFA KWA UMMA
Posted on: April 17th, 2020katika kuhakikisha tunajikinga na maambukizi ya ugonjwa wa corona Uongozi umeendelea ukiweka utaratibu ambao utakua salaama kwa ndugu, wadau na wafanyakazi wataasisi kwa kuweka mikakati ya kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima.