TANZIA
Posted on: September 30th, 2022Mganga Mfawidhi Dkt. Abdallah Mmbaga amepokea kwa masikitiko makubwa kufuatia kifo cha Bi.Betty aliekuwa mtumishi wa Mkataba kama Mhasibu wa Hospitali.
Aidha, Mganga Mfawidhi ametoa Pole kwa Familia na watumishi wote wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya kwa kuondokewa na mpendwa wao.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la lake lihimidiwe!