Huduma ya Kulaza wagonjwa
Posted on: November 3rd, 2024Idara ya Magonjwa ya Ndani
Idara ya magonjwa ya ndani ni idara inayohusika na kuzuia na kutibu magonjwa ya ndani kwa watu wazima.
Idara hii ina kliniki zifuatazo; kliniki ya ugonjwa wa presha ya kupanda, kliniki ya kisukari, kliniki ya wagonjwa wenye maambukizi ya vizuri vya ukimwi, na kliniki ya TB.