Kliniki ya Kinywa na Meno
Posted on: December 21st, 2024Huduma ya Afya ya Kinywa na Meno
- Kungoa meno
- Kungarisha meno
- Kusafisha meno
- Kuziba meno
- Kuua kiini cha fahamu cha jino
- Kunyosha mataya yaliyopinda
- Kufunga taya liliovunjika
- Kuweka meno ya bandia
- Kutoa elimu ya afya ya kinywa na meno.
- Kufundisha njia nzuri ya kupiga mswaki
- Kurudisha taya lililo chomoka
- Kutoa elimu ya vitu vinavyosababisha meno kutoboka
- Kupasua majipu yanayo sababishwa na meno kutoboka.
- Mkuu wa kitengo cha Afya ya Kinywa na Meno Dkt. Ayoubson Maleko akikitoa huduma kwa mteja.