Wasiliana nasi | MMM | Barua Pepe |

All Clinics


IDARA YA MACHO.

Idara ya macho inatoa huduma zifuatazo;

  • Kuwaona wagonjwa wote wenye matatizo ya macho
  • Kutoa Elimu ya afya ya macho
  • Kupima vipimo vya miwani
  • Ushauri
  • Kufanya upasuaji wa jicho mkubwa na mdogo hasa mtoto wa jicho.
...

Hii ni kliniki inayohusika na kutibu wagonjwa wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi pamoja na madhara yatokanayo na ugonjwa huo. Kliniki hii ipo kila siku kuanzia muda wa saa 3 asubuhi mpaka saa 9 na nusu mchana, pia kliniki ya jioni kuanzia saa 10 kamili...