Wizara ya afya imetoa taarifa juu ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona Nchini. Ikiwa ni kuendelea kuoneza uelewa kwa wananchi juu ya athari za Corona Nchini.... soma ziadi
Habari
Wizara kupitia Waziri wa Afya mhe. UMmy Mwalimu ametoa taarifa kwa umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa UVIKO 19.... soma ziadi
Usimtenge Mtoto na Mama TENDA SASA waweke wazazi na mtoto njiti pamoja! Heri ya siku ya watoto njiti Duniani. ... soma ziadi
Ili kutekeleza maelekezo ya wizara mchakato wa kumpata Muuguzi kiongozi umeanza.... soma ziadi
Tarehe 14 Juni 2021 ni kilele cha kampeni ya uchangiaji Damu Salaama, Hivyo kama Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya kuhitimisha kampeni hii kutakuwa na zoezi la uchangiaji Damu wananchi wote m... soma ziadi
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dkt Dorothy Gwajima amefanya ziara ya kikazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya (Mbeya RRH), Lengo ikiwa ni kuangalia utoaji w... soma ziadi
Taarifa rasmi ya awali ya ugonjwa unaosadikiwa kuathiri wananchi Wilayani Chunya, Mkoani Mbeya...... soma ziadi
wiki ya maadhimisho ya siku ya kuzuia magonjwa yasiyoambukizwa, ambapo killed itakuwa tarehe 14 November 2020.... soma ziadi
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinisia, Wazee na Watoto Mhe. Godwin Ole Mollel amewasili katika Ofisi za Wizara ya Afya zilizoko Mtumba Jijini Dodoma mara baada ya kuapishwa na Ra... soma ziadi
katika kuhakikisha tunajikinga na maambukizi ya ugonjwa wa corona Uongozi umeendelea ukiweka utaratibu ambao utakua salaama kwa ndugu, wadau na wafanyakazi wataasisi kwa kuweka mikakati ya k... soma ziadi