Fahamu siku za kliniki za Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na uzazi, je? una shida ya uzazi karibu tukuhudumie... soma ziadi
Habari
Wananchi wamefurahishwa na jinsi Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa mbeya walivyo jipanga katika kutoa elimu na kuwajulisha wananchi huduma mbalimbali zinazotilewa katika idara mbalimbal... soma ziadi
Mganga Mfawidhi Dkt. Abdallah Mmbaga amepokea kwa masikitiko makubwa kufuatia kifo cha Bi.Betty aliekuwa mtumishi wa Mkataba kama Mhasibu wa Hospitali. Aidha, Mganga Mfawidhi ametoa... soma ziadi
Mganga Mfawidhi Dkt Abdallah Mmbaga (wa pili kutoka kulia) amefanya kikao na Watumishi wa Idara ya Maabara kwa lengo la kusikiliza changamoto na maoni ya Idara ili kuboresha Huduma. ... soma ziadi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amehesabika leo nyumbani kwake jijini Dodoma. Prof. Makubi amesema "Kazi nzuri inafanywa na Serikali yetu na Natumaini kila Mtumishi wa Sekta ya ... soma ziadi
Kaimu Mganga Mfawidhi Dkt Ngwilo Mwakyusa amewaongoza watumishi kuaga mwili wa Agnes Victory Mgani ambaye alikuwa mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya kwenye viwanja vya Hospitali... soma ziadi
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya Dkt. Julius Kaijage, ametembelea Banda la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya kuona huduma zinazotolewa. Aidha, Dkt Ka... soma ziadi
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt Salum Manyata ametembelea Banda la Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mbeya kwenye viwanja vya John Mwakangale Nanenane ili kuona huduma zinazotolewa kwenye Banda... soma ziadi
Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri amewaongoza wajumbe wa Bodi kukagua utekelezaji wa miradi inayoendelea. Miongoni mwa miradi iliyotembelewa na wajumbe wa Bodi ni mradi wa ujenzi wa jengo ... soma ziadi
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera akiambatana na Katibu Tawala wa mkoa Dkt. Angelina Lutambi, wamefanya kikao na wakuu wa Idara na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mbeya. ... soma ziadi